Aunty Ezekiel ajifungua mtoto wa kiume
 Malkia wa Bongo movie Aunty Ezekiel Amejifungua mtoto wa kiume, kupitia akaunti ake amepost video  na kutoa neno la shukrani.
Ikumbukwe kuwa Aunt Ezekiel huyu mtoto wake wa pili ambaye wa kwanza ni wa kike na amezaa na dansa wa msanii Daimond Platinum Mose Iyobo huku huyu wa pili ni wa kiume nababa wa mtoto bado ajajulikana.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Hongera Baba Cookie, Mama kuki kujifungua salama, WBC Family yaongezek

    ReplyDelete