Azam kwenye kibarua kigumu leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




LEO Novemba 5 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga kwa timu sita kusaka pointi tatu uwanjani.

Azam FC ambao wapo nafasi ya pili na pointi 22 wana kazi ya kupambania kombe ili kuona namna gani wanaweza kuwashusha Yanga nafasi ya kwanza wakiwa na pointi zao 23.


Ikiwa leo Azam FC itashinda ama kupata sare mbele ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Azam Complex itaishusha Yanga nafasi ya kwanza kwa kuwa ina wastani wa mabao mengi ya kufunga ikiwa nayo 15 huku Yanga ikiwa imetupia mabao 11


Mchezo mwingine ni kati ya Mbeya City dhidi ya Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.


Mtibwa Sugar itawakaribisha Coastal Union, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad