11/14/2020

Bondia Mwakinyo Amchapa Muargentina Vibaya Round ya Nne

 


Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshinda tena kwa Technical Knock Out(KO) dhidi ya bondia Muargentina Jose Carlos Paz na kuendelea kutetea Mkanda wake wa WBF na kumfany awe na jumla ya KO’s 12 katika mara 18 alizoshinda ndani ya mapambano 20 ambayo ameyafanya hadi sasa.


Bondia Muargentina alisalimu amri katika Round ya 4 katika Pambano la Round 12 la uzito wa Intercontinental Super Walter Weight

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

2 comments:

 1. Hongera Mwakinyo.

  Sasa ni Jukumu la Serekali na Wwafanya biashara kumpromot huyu Bondia wetu wa Kimataifa na kumpa Uogozzi wa Kitaifa na sio meneja mradi meneja.

  Apeweubalozi katika Utalii, Nembo za Vinyaji , Usafiri na Runinga zote ikiwa kama Fahari ya Kujivunia Watazania.

  Uzalendo kwanza, Mama Tanzania.

  Next bount in Las Vegas.

  ReplyDelete
 2. Hongera Mwakinyo.

  Sasa ni Jukumu la Serekali na Wafanya biashara kumpromot huyu Bondia wetu wa Kimataifa na kumpa Uongozi wa Kitaifa na sio meneja mradi meneja.

  Apewe ubalozi katika Utalii, Nembo za Vinyaji , Usafiri na Runinga zote ikiwa kama, Fahari ya Kujivunia Watazania.

  Uzalendo kwanza, Mama Tanzania.

  Next bount in Las Vegas.

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger