Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Bosi Jamii Forums Ahukumiwa Kifungo cha nje

 


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  imemhukumu mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums,  Maxence Melo  kifungo cha nje cha mwaka mmoja  na kutokufanya kosa lolote la kijinai baada ya kupatikana na hatia ya kuzuia askari kutekeleza majukumu yao.


Pia, mahakama hiyo imemuachia huru Micke Mushi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kudhibitisha mashtaka dhidi yake.


Hukumu hiyo umetolewa leo Jumanne Novemba 17, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Huruma Shaidi, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kusomwa hukumu.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments