Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Breaking News:Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa BungeMgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 Baada ya kupata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja

Ndugai aliliongoza bunge hilo akiwa spika kwa kipindi cha miaka mitano, ambapo hii leo akmekitetea kiti chake kwa ajili ya kukitumikia kwa miaka mitano mingine.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments