CHADEMA yawavua uanachama akina Halima Mdee na wenzie 

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Halima Mdee na wenzake 18 wamevuliwa uanachama wa chama hicho kwa sababu wamekiuka katiba na kanuni za chama hicho kwa uamuzi wao wa kwenda kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum bila chama hicho kuwapitisha.

Mbowe ametoa tamko hilo jana  Ijumaa Novemba 27, 2020 saa 5 usiku wakati akisoma maazimio ya kikao cha kamati kuu kilichoketi kuanzia saa 3 asubuhi kuwajadili wabunge hao.

Waliovuliwa uanachama ni Halima Mdee, Esther Matiko,  Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Lambart,  Nusrati Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo,  Asia Mohammed,  Felister Njau, Nagenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stella Fiao, Anatropia Theonest,  Salome Makamba na Conchesta Rwamlaza.

Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mbowe alitaja hatua nyingine tatu ambazo kamati kuu imezichukua ikiwa ni pamoja na  kuwavua nyadhifa miongoni mwao waliokuwa viongozi wa Baraza la Vijana la chama hicho (Bavicha) na lile la wanawake (Bawacha) na kuagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze  mara moja.

”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa” Mbowe

“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” Mbowe  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

5 Comments

 1. Mbowe na Genge lako. Wacha Muendelezo wako wa Vitisho na Udhalilishaji wa Kina Mama Wabunge wetu.

  Baada ya Kusikiliza Tamko lako ambalo wahudhuriaji na wewe mwenyewe kuwa MATEKA ( Hostagized)
  Wa baadhi ya watu/mtu Fulani katika mlolongo wa Maigizo yenu ya Kila Mara. Hii imekuwa kubwa Zaisi baada ya kuvuka Mipaka tuliyo izowea katika Ngonjera zenu zilizo kosa Viwango.

  Kilichotokea ni kwamba, Hotuba ya Maamuzi imejaa UjJINAI / UHAMASISHAJI / UDHALILILSHAJIi/ VITISHO/ UHADAIFU / UCHONGANISHAJI NA UZANDIKI ULIO KITHIRI VIWANGO.

  Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Viti Maalum wote 19 akiwemo Aida ni Wabunge Halali wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano na Wataendelea Kuwakilisha Umma kama kilivyo Kiapo Chao. 2020-2025.

  Wamekidhi Matakwa yote ya Kisheria na Vigezo Ambatanishi vya Sheria hizo. Na walipo kula Kiapo ni wanachama hai wa chama cha Siasa kilicho wapendekeza, Sasa ikiwa kama kuna mkato ule mlioutaka hamkuafikiana, Hili ni suala lilikuwa liwe na la Mapatano ndani kuwa nani atapatiwa Ulaji na Kiasi gani?

  Uamuzi wenu ni Batili, Ukizingatia Mazingira na Hali Halisi iliyo pelekea kutoa Tamko Uliolitoa, ambalo
  Linadhihirisha na kwa Mujibu wa baadhi ya Wajumbe haya ni tamko la yule Jamaa wa kule nje.

  Ni Uongo Ulio ujenga ili likitokea la kutokea baada ya Mikakati yenu Kama itafana ( I doubt )
  Kwamba ulijibiwa Tunaogopa kuja Hii ina Criminal Intentions behind it. WHAT ARE YOU COOKING?

  Sasa Onyo kwako na Genge lako including Boni Jako na wenzenu. Wabunge wetu wakiwemo Waheshimiwa kina Halima/Ester’s/ Salome na wenzi wao. Untwele wao ama Kikucha Chao kitadondoka
  Kwa hali yeyote ya purukushani mnazo /mlizo zipanga Jua WILL HOLD YOU ACCOUNTABLE baada
  Ya hotuba yako inayosema tume amua kuingia Hasara na kubadilisha sehemu ya kikao kwa Ajili ya Usalama wao ( UKIMAANISHA NINI0? Tutafungua RB juu ya kitisho hiki kwa Cmdr Muroto kutishia Usalama wa Wabunge kwa Lugha za Uhamasishaji na Mpango kazi mtarajiwa. Na Cmdr Muroto tumuombe ulinzi stahiki Kwa Hawa Wabunge wetu Majasiri 20.

  Isitoshe, Jumuiko la Genge hili kujadili waliowateua Limekosa Vigezo na Uhalali wa Kufikia walichofikia hata kabla ya Mwito ukiangalia the NATURE OF CIRCUMSTANCE.

  KWA HIYO, UBABAISHAJI WENU NA GENGE LENU LA WAHALIFU AMBAO MLIJARIBU KUWATAFUTA MATEJA NA WANA MASHADA. Npende kuwambia kwamba Its illegitimate in its entirety. Hence Kina mama wataendelea Kuwatumikia Watanzania katika Muhula wao wa Uwakilishi .
  Umejaribu katika Mlolongo wa Kufeli kwenu, Kuingiza Suala la Vifo Zanzibar na Nafasi ya Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar. Haya ya Vidonda na Uhamasishaji Yanakuhusu nini wewe Mchochezi..!!
  Pigana na Hali yako na Mshtuko ulioupata kwa Sashisha na Si Kiherehere katika kila Jambo si Unakumbuka mlivyo taka Kumuondoa Duniani yule Wa chama Lafiki alivyo kuwa Chamani? Rekodi yako mbaya already na ukiendelea kumsikiliza yule wan je atakupeleka Kombo.

  Waheshimiwa Wabunge Kina Mama, Wala Msitishike na Hili la Kupita. Chakufanya Fungueni RB juu ya Hivi vitisho na Msibughuthike na Usanii wa hili Genge la Wachache. Walio kaa na Uchu Uchu Uchu na Wivu Wivu uliopita HULKA ZA KIBINADAMU. CHAPENI KAZI WATUMIKIENI WATANZANIA. MKO VIZURI

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimejaribu kuielewa mara 5 naisikiliza. I concluded imetoka iliko toka kwa madhumuni na lengo la kudhani watawakomesha Waheshimiwa Wabunge na kuwa Hadaa kuwa mpenyo uliobaki ni BARAZA KUU KAMA MNATAKA.

   HII NI DANGANYA TOTO..HUU MCHEZO
   MH. MDEE,MAKAMBA,BULAYA,MATIKO NA WENZAO WOTE HAWAUCHEZI.

   MBOWE KAMA NI DISCO KARIBU KEYS.
   JIMBO .. KITI.. RUZUKU..VYOTE

   WAACHE KINA MAMA NA AMANI NI WACHAPA KAZI MAJASIRI USIENDELEE KUWACHONGANISHA NA KUCHONGA WAACHE WALITUMIKIE TAIFA. TAMKO LAKO NI LA KIHALIFU JAPO UMETUMWA

   Delete
 2. Mbowe na Genge lako. Wacha Muendelezo wako wa Vitisho na Udhalilishaji wa Kina Mama Wabunge wetu.

  Baada ya Kusikiliza Tamko lako ambalo wahudhuriaji na wewe mwenyewe kuwa MATEKA ( Hostagized)
  Wa baadhi ya watu/mtu Fulani katika mlolongo wa Maigizo yenu ya Kila Mara. Hii imekuwa kubwa Zaisi baada ya kuvuka Mipaka tuliyo izowea katika Ngonjera zenu zilizo kosa Viwango.

  Kilichotokea ni kwamba, Hotuba ya Maamuzi imejaa UjJINAI / UHAMASISHAJI / UDHALILILSHAJIi/ VITISHO/ UHADAIFU / UCHONGANISHAJI NA UZANDIKI ULIO KITHIRI VIWANGO.

  Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Viti Maalum wote 19 akiwemo Aida ni Wabunge Halali wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano na Wataendelea Kuwakilisha Umma kama kilivyo Kiapo Chao. 2020-2025.

  Wamekidhi Matakwa yote ya Kisheria na Vigezo Ambatanishi vya Sheria hizo. Na walipo kula Kiapo ni wanachama hai wa chama cha Siasa kilicho wapendekeza, Sasa ikiwa kama kuna mkato ule mlioutaka hamkuafikiana, Hili ni suala lilikuwa liwe na la Mapatano ndani kuwa nani atapatiwa Ulaji na Kiasi gani?

  Uamuzi wenu ni Batili, Ukizingatia Mazingira na Hali Halisi iliyo pelekea kutoa Tamko Uliolitoa, ambalo
  Linadhihirisha na kwa Mujibu wa baadhi ya Wajumbe haya ni tamko la yule Jamaa wa kule nje.

  Ni Uongo Ulio ujenga ili likitokea la kutokea baada ya Mikakati yenu Kama itafana ( I doubt )
  Kwamba ulijibiwa Tunaogopa kuja Hii ina Criminal Intentions behind it. WHAT ARE YOU COOKING?

  Sasa Onyo kwako na Genge lako including Boni Jako na wenzenu. Wabunge wetu wakiwemo Waheshimiwa kina Halima/Ester’s/ Salome na wenzi wao. Untwele wao ama Kikucha Chao kitadondoka
  Kwa hali yeyote ya purukushani mnazo /mlizo zipanga Jua WILL HOLD YOU ACCOUNTABLE baada
  Ya hotuba yako inayosema tume amua kuingia Hasara na kubadilisha sehemu ya kikao kwa Ajili ya Usalama wao ( UKIMAANISHA NINI0? Tutafungua RB juu ya kitisho hiki kwa Cmdr Muroto kutishia Usalama wa Wabunge kwa Lugha za Uhamasishaji na Mpango kazi mtarajiwa. Na Cmdr Muroto tumuombe ulinzi stahiki Kwa Hawa Wabunge wetu Majasiri 20.

  Isitoshe, Jumuiko la Genge hili kujadili waliowateua Limekosa Vigezo na Uhalali wa Kufikia walichofikia hata kabla ya Mwito ukiangalia the NATURE OF CIRCUMSTANCE.

  KWA HIYO, UBABAISHAJI WENU NA GENGE LENU LA WAHALIFU AMBAO MLIJARIBU KUWATAFUTA MATEJA NA WANA MASHADA. Npende kuwambia kwamba Its illegitimate in its entirety. Hence Kina mama wataendelea Kuwatumikia Watanzania katika Muhula wao wa Uwakilishi .
  Umejaribu katika Mlolongo wa Kufeli kwenu, Kuingiza Suala la Vifo Zanzibar na Nafasi ya Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar. Haya ya Vidonda na Uhamasishaji Yanakuhusu nini wewe Mchochezi..!!
  Pigana na Hali yako na Mshtuko ulioupata kwa Sashisha na Si Kiherehere katika kila Jambo si Unakumbuka mlivyo taka Kumuondoa Duniani yule Wa chama Lafiki alivyo kuwa Chamani? Rekodi yako mbaya already na ukiendelea kumsikiliza yule wan je atakupeleka Kombo.

  Waheshimiwa Wabunge Kina Mama, Wala Msitishike na Hili la Kupita. Chakufanya Fungueni RB juu ya Hivi vitisho na Msibughuthike na Usanii wa hili Genge la Wachache. Walio kaa na Uchu Uchu Uchu na Wivu Wivu uliopita HULKA ZA KIBINADAMU. CHAPENI KAZI WATUMIKIENI WATANZANIA. MKO VIZURI

  ReplyDelete
 3. Mbowe na hawa wahudhuriaji hana Uhalali
  wa kufanya Mapinduzi na utekaji wa Chama, Ukiwalenga viongozi Waandamizi ambao ni Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano ambao wana equal ranks Kitaifa.

  Waitishe kikao chao Wabunge na Taasisi za bawacha kuondoa na kulaani mfumo dume katika taasisi hii, Si mbaya Ni vyema kuja na Azimio laWAKAWAFUKUZA CHAMANI HAWA WOTE WALIOHUDHURIA HIIKI KIKAO CHA MAAMUZI BATILI NA KUTO YATAMBUA.

  KINA MAMA TUNAWEZA.
  CHEZA NA HALIMA NA TIMU YAKE KABAMBE.
  WAKO NA MUNGU NA SISI WAPENDA HAKI.

  HAONEWI MTU HAPA. KINA MAMA OYEEEE.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau, Wana haki kabisa kumsimamisha myika,mtowe na bnifasi jakobo nahali ikibidi kuwafukuza kama zito alivyo fukuzwa.

   Wakati Hawa Waheshimiwa Wabunge wanakijenga Chama hiki hawa walikuwa wana stalehe.

   Hii Mandate wanayo, wadenounce kuto tambua matamko ya huyu msemaji haekaeli.

   Chama kimejengwa na kina Mama
   Na wanayo haki ya kuwasimamisha
   na ikibidi kuwabadilisha na kuuitisha uchaguzi wa mwenyekiti na makau na katibu mzalendo na si muhamasishaji wa Uasi nchini

   Delete