Chriss Brown Awapa Wazo Netflix, Awashauri Kupandisha Video za Wasanii

 


Chris Brown ana mawazo mazuri ambayo yataleta tija kwa wasanii, ameamua kuwashauri Netflix.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chris Brown amewaomba Netflix kuongeza na video za muziki kwenye platform yao ili kuwasadia wasanii katika kutanua wigo wa kazi zao kuonekana.

Una maoni gani kuhusu ushauri huu au wazo hili la Chris Brown? Tuachie comment yako.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments