AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Manchester United imefanya mazungumzo na Cristiano Ronaldo kuhusu kurejea Klabuni hapo msimu ujao, kwa mujibu wa mwandishi wa ESPN, Christian Martin.
Ronaldo (35) ameripotiwa kuikubali dili hiyo ya uhamisho na pia Juventus wamesema wapo tayari kuipokea kama Ronaldo ataomba. Mkataba wa nyota huyo unamalizika 2022.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK