11/02/2020

CUF Yatangaza Kutoshiriki Uchaguzi Mkuu Wowote Mpaka Tume Huru ya Uchaguzi Itakapopatikana


Prof Ibrahim Lipumba amesema kutokana na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 ulivyoendeshwa, CUF haitashiriki Uchaguzi wowote na badala yake itajikita katika harakati za kudai #KatibaMpya ili Tume Huru ya Uchaguzi ipatikane


Pia amesema, "CUF tunawaomba Watanzania wote wapenda haki kuungana na sisi katika ibada Alhamisi, ambapo tutafunga kwa kutokula mchana na tufanye dua kila mmoja kwa imani yake kuomba hukumu ya #Haki kutokana na kile kilichofanyika"


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger