Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Dada wa Kazi Anani Blackmail Baada ya Kutembea Naye

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika huyu dada nilimuona kama mtoto mdogo sana, baada ya kumaliza kama wiki hivi, nilianza kumzoea taratibu taratibu pia yeye alianza kunizoea kiaina.


Siku moja alitaka kwenda kuoga akawa amejifunga kanga moja halafu akanitania kwa kusema “shemeji twende tukaoge wote” na mimi nilimjibu kwa utani huku nikitabasamu na kusema “tangulia shemeji”.


Basi alipotoka bafuni tena akaniambia “mbona umenidanganya shemeji?” Nilishangaa kwani mimi nilichukulia kama ni utani tu kumbe alikuwa anamaanisha kweli. Wakati yupo chumbani nilisikia sauti yake tena akiniita nilipofika eti ananiuliza mafuta ya kupaka, nikamuelekeza sehemu yalipo.


Kabla sijaondoka eti ananiambia “naomba unisaidie kunipaka mafuta shemeji”. Duuh niliogopa sana maana huyu binti japo alikuwa ni mdogo lakini alikuwa na bonge la chura. Basi wakati naendelea na zoezi la kumpaka mafuta mara nikamsikia akitoa miguno ambayo siielewielewi.


Uzalendo ukamshinda na kuniambia “shemeji naomba unisaidie Jambo langu”. Nami bila hiyana nilimpa Jambo lake mpaka akasema Shemeji sikuachi..


Tatizo limeanza pale alipofukuzwa na wife kwa kosa la utovu wa nidhamu. Cha ajabu ananilalamikia eti nimelala nae bila kumpa chochote. Mara anasema nimemaliza shida zangu halafu simjali tena. Ananitumia meseji za vitisho, anasema kama nataka kuendelea kuishi basi nimpe hata milioni moja afanye kama mtaji aanzishe biashara yeyote la sivyo patachimbika.


Sasa naombeni ushauri wadau huyu dada ana maana gani?

Post a Comment

0 Comments