Daktari aanika ukweli mfupa wa kichwa kuwekwa tumboni (+video)

 


Inawezekana kwenye mitandao umekutana na video ya kijana Mtanzania aliyesema kuna sehemu ndogo ya fuvu la kichwa chake imewekwa tumboni kwake wakati akipata matibabu katika hospital mifupa MOI Dar es salaam wakati akihojiwa na Times Digital.


AyoTV na millardayo.com zimefika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha MOI ili kuufahamu ukweli na undani wake ambapo tumempata Daktari Bingwa ambaye anafahamu kuhusu Mgonjwa huyo ambapo amesema hapo alipo Mgonjwahuduma bado kwani atatakiwa kurudi Hospitali kwa matibabu zaidi

VIDEO:


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments