Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Dayna Nyange Afichua Siri ya Wasanii wa Kike Kubuma
SEXLADY kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ amesema changamoto kubwa zinazowafanya wasanii wa kike kurudi nyuma kimuzuki ni rushwa ya ngono.

 

 

Akizungumza na AMANI, Dayna amesema wasanii wengi wa kike wanauwezo mkubwa wa kufanya poa kwenye muziki wao ila kitu ambacho kinawakwamisha ni kuombwa rushwa ya ngono mpaka badhi yao wakijikuta wakiacha na kazi ya muziki.

 

 

“Wasanii wengi wa kike wako vizuri kabisa kwenye kuimba na wanauwezo mkubwa tu, lakini sasa hapo linakuja suala la rushwa ya ngono ili muziki wako uweze kupaishwa ndipo tabu inapoanza.

 

“Kama tunavyofahamu kila mtu amelelewa kwenye maadili yake wengine hivyo vitu hawaviwezi ndiyo maana inafi kia hatua wasanii wa kike wanaacha muziki kabisa,” alisema Dayna.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments