Diamond kusimama kimuziki kisa watoto wake ? mama Dangote, Esma wamsifia Zari Mobetto Tanasha wapewa makavu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa takribani wiki sasa ameonyesha furaha yake baada ya kutua watoto wake wawili kutoka nchini Afrika Kusini ambao alitengana nao kwa takribani miaka miwili sasa.

Diamond alikuwa anatamani sana siku moja watoto wake waje kumsalimia kutokana na yeye kutengana na mama watoto wake Zari.

Baada ya kutua Bongo inaonyesha Diamond amesisimamisha kila kitu ili kulea watoto wake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad