Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Diamond Platnumz athibitisha collabo yake na G Nako, Mashine yetu ikitoka watatapikaMsanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa WCB n Wasafi media kwa ujumla Diamond Platnumz amethibitisha kuwa na collabo na G Nako kutoka kundi la Weusi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amethibitisha hilo baada ya G Nako kuweka Comment yake kwenye Post ya Diamond ambayo alipost show yake ya Malawi ambapo watu waliohudhuria walikuwa wakiitikia ngoma za Diamond kwa Kiswahili na G Nako aliandika kuwa:


“Malawi wanamwagika Kiswahili tupo vizuri”


Baada ya muda Diamond aliirudia Cooment hiyo ya G Nako n akujibu kuwa


“Nawaza ile mashine yetu ikitoka watakavyotapika huku”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments