Dk Tulia Ackson Achukua Fomu ya Kuwania Unaibu Spika wa Bunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dk Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili apate nafasi ya kuwatumia wananchi waliomchagua.


Badala yake, Dk Tulia ambaye katika Bunge la 11 alikuwa naibu spika, amechukua fomu kuwania tena nafasi hiyo.


Dk Tulia ameeleza hayo leo Jumanne Novemba 3, 2020 mjini Dodoma baada ya kuchukua fomu katika ofisi za CCM makao makuu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad