Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Dkt Bashiru atoboa siri ya ushindi wa CCM uchaguzi mkuuKatibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema kuwa siri kubwa iliyowapa ushindi huo waliyopata katika uchaguzi ni umoja wao.


”Siri kubwa iliyotupa ushindi huu ni umoja wetu, kwa mara ya kwanza Chama chetu kimeingia katika uchaguzi na kumaliza tukiwa wamoja na tukiwa tunaheshimiana na kusimamiana.” amesema Dkt Bashiru


Siasa

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments