Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Guardiola Asaini Mkataba Mpya Man City

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKOCHA wa Timu ya Manchester City, Mhisipaniola Pep Guardiola, amekubali kuongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya  kuwepo kwenye timu hiyo mpaka mwaka 2023.  Mkataba wake awali ulikuwa umebakisha miezi saba kuisha.

Hatua hiyo imekuja kuzima tetesi zilizokuwepo kuwa huenda angeamua kurudi kwenye timu ya Barcelona.

Baada ya kuanza msimu huu vibaya kulikuwa na shinikizo kubwa kuwa huenda matajiri wa klabu hiyo wangeamua kuachana naye, lakini kitendo cha kumpa mkataba mpya kinaonyesha kuwa na imani na Pep ambaye tangu ashinde ubingwa wa kombe la Uefa Champions League bado  msimu wa 2010/11  anahaha kuusaka ubingwa huo

Post a Comment

0 Comments