Haya ni Maoni Yangu Kuhusu STAGE Performance ya Zuchu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Jana nimengalia show ya Zuchu na nina maoni yafuatayo:


Kwanza, nashauri 'stage show' wake wanapaswa kuwa wanaume kwa sababu aina ya nyimbo zake. Nyimbo za Zuchu ni za mapenzi na iteleta maana akiwa na boy wa kushow ‘stage love’ naye. Au kama vipi at least mix – two boys and two girls, lakini ikibidi kama show ya mbali na anahitajika mtu mmoja ni bora achukue boy mmoja mzuri sana. Ile dance video ya cheche na yule jamaa. That's how show ya Zuchu yapaswa kuwa. Faida ya ziada ya kuwa na stage show ambao ni boys, attention yote jukwani will be ON YOU. Anakuwa the only flower on the stage.


Pili, katika mpangilio wa nyimbo, mfanye kazi zaidi. Ni bora, kuanza na nyimbo slow, na kumalizia zilizochangamka. Njia nyingine ni kutengeneza theme yaani story kutoka nyimbo moja hadi nyingine. Mfano: Raha … (then yaanza maudhi) kwaru … nisamehe ….hasara …..(then laja penzi jipya) … nobody…hakuna kulala….cheche …na kadhalika. Hii itamhitaji awe good story teller.


Tatu, hiyo carantine kama anaipenda but aomba utengeneze a remix. Add at least one more verse uitumie.


Nne, Going forward, kama anataka show za kuamshaamsha kama her male counter part, aongeze katika catalogue yake nyimbo za club …bangers . Zile watu watavibe na kuruka.


Aina ya nyimbo alizonazo sasa nyingi ni tamu kuzisikiliza na kumuangalia anavyoziperform, jambo ambalo pia si baya. Give audience a different taste altogether without boring them. Cheche official dance ikiperfomiwa stejini?


Tano na mwisho. Apunguze "Sisikiiiiiii". They are your clients. Wamekuja kumuwatch her sing and dance forthem, NOT VISE VERSA. Tena zaidi apunguze katika show za corporate. Huko kama tutamsamehe.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad