Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jamaa Anayetuhumiwa Kumkata Mkono Mke Wake Afikishwa Mahakamani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Ombeni Mollel anayetuhumiwa kumkata mkono mke wake Mwl.Veronica Kidemi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi amepandishwa katika mahakama ya wilaya Arumeru jijini Arusha na kusomewa shitaka la kujaribu kuua jambo  ambalo ni kinyume cha sheria ya makosa ya jinai   kifungu cha 211 (a) kilichofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Kesi hiyo CI 19 2020 iliyosikilizwa mbele ya hakimu wa mahakama hiyo Chrisanta Chitanda imeahirishwa mpaka November 18 mwaka huu kwa kile kilichoelezwa upelelezi haujakamilika

Post a Comment

0 Comments