Jarida la People's limemtaja muigizaji hodari nchini Marekani Michael B. Jordan kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani (Sexiest Man Alive 2020)


Akizungumza kwenye mahojiano na Jarida hilo, Michael B. Jordan amesema ni hisia nzuri kutajwa hivyo kwa sababu kila siku watu wake wa karibu walikuwa wakimtania kwamba hatokuja kutajwa kwenye hadhi hiyo.

-

"Ni hisia nzuri sana, unajua kila mtu siku zote amekuwa akinitania kwamba Mike hiki ndio kitu ambacho hutokuja kukipata. Lakini ni sehemu nzuri ya Mimi kuwa miongoni." alisema Michael B. Jordan akimvua taji hilo mwimbaji John Legend ambaye alisimikwa mwaka jana.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE