Job Ndugai: Bunge la 12 halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge la 12 halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani kwa kuwa hawajatimiza 12.5% ya wabunge inayotakiwa kwa mujibu wa kanuni. Amesisitiza wabunge wa upinzani walioko bungeni watapata nafasi na hakutokuwa na ubaguzi wala upendeleo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongereni wana kamati wa kanda zote
    wakati wa kampeni za kisayansi.

    Pia bila kumsahau actionman Dr Bashiru
    K.Majaliwa. cmrd Mpogolo n MC Polepole

    IT WAS A GREAT TEAMWORK. AS A RESULT
    KIPENZI CHETU JPJM KASHIKA HATAMU NA
    BUNNGE LETU RANGI INAPENDEZA KAMA
    ASHANTU... KIJANIII.!!! Oyeeeee.


    Ya Kondya mwahaa...Sandenyi wazelelo.

    ReplyDelete
  2. Eeehhhh, Ndiyo mana Tundu Bovu kaondoka
    leo kurudia kwao..!!


    Anasema anabadilisha kiwanja cha ....

    Sasa kamwagia manyanga macho kumchuzi
    njia panda.

    ReplyDelete

Top Post Ad