JPM Aongoza Kikao Halmashauri Kuu CCMMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana  tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

2 [disqus]: JPM Aongoza Kikao Halmashauri Kuu CCM

 1. MwenyeZi Mungu, Akupe afya na Umuri.

  Kuapishwa na Kuingia kazini.

  Hapa Kazi tu kwenda Mbele.

  Viguru mmeona hiyo..?? Falu Joni mwenzako anaendeleaje ? na wewe umesha kwenda appoitment yako kwa Opthamologist kuangalia kisgino chako?  ReplyDelete
  Replies
  1. Magu Jembe, Halina Masika wala kiangazi.

   Mungu akubariki.

   Delete