JPM Aongoza Kikao Halmashauri Kuu CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana  tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MwenyeZi Mungu, Akupe afya na Umuri.

    Kuapishwa na Kuingia kazini.

    Hapa Kazi tu kwenda Mbele.

    Viguru mmeona hiyo..?? Falu Joni mwenzako anaendeleaje ? na wewe umesha kwenda appoitment yako kwa Opthamologist kuangalia kisgino chako?



    ReplyDelete
    Replies
    1. Magu Jembe, Halina Masika wala kiangazi.

      Mungu akubariki.

      Delete

Top Post Ad