google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Justin Bieber Awakosoa Grammy Kuhusu Albamu yake | UDAKU SPECIAL

Justin Bieber Awakosoa Grammy Kuhusu Albamu yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Muimbaji wa muziki wa Pop na R&B kutokea nchini Canada Justin Bieber Mwaka huu Amepata nafasi ya kutajwa kuwania Tuzo za Grammy2021 katika Vipengele vinne ambavyo ni 'Best Pop Vocal Album', 'Best Pop Solo Performance', 'Best Pop/Duo Group Performance' na 'Best Country Duo/Group Performance',

Justine Bieber amewakosoa waandaaji wa tuzo hizo na Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bieber Ameandika ujumbe Akielezea kushangazwa na kitendo cha waandaaji wa hao kuiweka album yake ya 'CHANGES' Kuwania Tuzo kwenye kipengele cha 'Best pop vocal album' wakati Album hiyo ni ya R&B,


Justin Bieber Amewataka Watu wasitafsiri vibaya alichokisema kwani hayo ni mawazo yake unaweza kukubaliana nayo au kuyakataa na Pia Amewashukuru watu wote Waliomuwezesha Kutajwa kuwania Tuzo katika Vipengele hivyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad