Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kinda Azam FC asaini Maccabi Tel AvivMchezaji wa Azam FC Novatus Dismas (18) aliyechini ya Shadaka Sports Management amesaini mkataba wa miaka mitatu na Bingwa wa Israel Maccabi Tel Aviv.


Dismas ambaye aliibuka mchezaji bora chipukizi wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020 ataanza kuwa chini ya Academy ya Maccabi Tel Aviv na baadae anatazamiwa kupandishwa.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments