Kolabo Ya Billnass, Nandy Tishio Afrika Mashariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



ZIKIWA ni wiki kadhaa zimepita tangu Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ na mchumba wake Faustina Charles ‘Nandy’ waachie colabo ya wimbo wao wa Do me, ngoma hiyo imeonekana tishio baada ya kushika namba moja kwenye platifomu zote za muziki Afrika mashariki.

 

Akizungumza na AMANI Billnass alisema wanamshukuru Mungu pamoja na mashabiki wao kwa sapoti wanayozidi kuwapa bila kuchoka.


 

Alisema kitendo cha singo hiyo kutrend mfululizo kwa zaidi ya wiki mbili sio jambo dogo.“ Kwanza kabisa tumekuwa namba moja trending kwa wiki mbili mfululizo, lakini pia hivi karibuni tumeingia kwenye chati kubwa ya muziki kwenye patform zote Afrika mashariki.

 

“Hii yote ni kwa sababu ya upendo wa mashabiki zetu kwetu, naomba waendelee hivyohivyo wasituchoke, kwa sababu tumepanga kuendelea kuwaletea burudani nzuri zaidi,” alisema Billnass

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad