11/14/2020

Lokole: Sasa Hivi Uchebe Anatoka Kweli na AgnessHAYAWI hayawi sasa yamekuwa, baada yakufanya kiki kwa muda mrefu sasa unaambiwa wameamua kufanya kweli eti. Mtoa udaku mmoja mtandaoni Juma Lokole hivi karibuni amejikuta akimwaga ubuyu hadharani na kusema kuwa Uchebe na Agness sasa hivi ni wapenzi kweli.


 


“ Uchebe na Agness mwanzo walikuwa wanafanya kiki na Agness alimlipa Uchebe shilingi Milioni 3.


 


Lakini baada ya muda wakaanza kutembea kweli kama mlikuwa hamjui mimi ndio nawaambia sasa hivi Uchebe na huyo dada ni wapenzi kweli na wanaishi wote Mkwajuni.” Alisema

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger