Mahujaji waruhusiwa kuingia Mecca kwa mara ya kwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mahujaji wa nchi za nje wameruhusiwa kufika kwenye msikiti mkuu mjini Mecca kwa mara ya kwanza tangu kuanza kutekelezwa kwa masharti ya kukabiliana na Corona miezi saba iliyopita.Muslims keep a safe social distance while performing Umrah at the Grand Mosque on 1 November 2020


Kuanzia leo Jumapili, baadhi ya mahujaji 10,000 kutoka nje ya nchi wameruhusiwa kufanya ibada ya Hija ya Umrah ambayo waislamu huweza kuitekeleza kipindi chochote kile.Muslims keep a safe social distance while performing Umrah at the Grand Mosque on 1 November 2020


Mahujaji hao walilazimika kujitenga kwa siku tatu baada ya kuwasili Saudi Arabia kabla ya kuruhusiwa kuzunguka Kaaba – eneo takatifu zaidi katika dini ya Kiislamu – katikati ya msikiti mkubwa.Muslims keep a safe social distance while performing Umrah at the Grand Mosque on 1 November 2020


Saudi Arabia imeripoti maambukizi 347,282 ya ugonjwa wa Covid-19 huku ikirekodi vifo 5,402 tangu kuanza kwa janga la virusi vya corona ilihali watu 333,842 wakithibitishwa kupona.


Nchi hiyo imeanza kufungua baadhi ya misikiti kama sehemu ya kulegeza masharti kote nchini humo.Muslims keep a safe social distance while performing Umrah at the Grand Mosque on 3 October 2020


Wakaazi wa Saudi Arabia waliruhusiwa kufanya ibada ya Umrah Oktoba na idadi hiyo inazidi kuongezwa ili kuwezesha mahujaji wengi mwezi huu.Muslim pilgrim wears a face mask during the Umrah pilgrimage on 3 October 2020


Ni wakazi 10,000 Waislamu wa Saudia walioruhusiwa kufanya ibada ya kwenda kuhiji mwezi Julai mwaka huu, tofauti na mamilioni ya watu ambao wamekuwa wakishiriki ibada hiyo miaka ya nyuma, kama ilivyokuwa mwaka 2016 kwnye picha inayofuata.Thousands of Muslim pilgrims circule around the Kaaba during the Hajj in September 2016


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad