Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya MechiKOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck  jana alinaswa na paparazi wetu akiwa katika mapozi tofauti kabla na baada ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga. Amakweli dabi ya watani hao si mchezo na ni mara chake mno ikapita bila kusababisha vibarua vya watu kuota nyasi upande utakozidiwa maarifa. Dabi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1.
 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments