Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Maskini Kusah Apata Ajali Mbaya ya GARI na Kuvunjika Mguu, Mwenyewe Afunguka Baada ya Kuwekewa Vyuma

 


Hizi ni 'updates' kuhusu tukio la kupata ajali kwa msanii wa BongoFleva Kusah ambalo imempelekea kuvunjika mguu wake wa kulia, ambapo siku ya leo ameshea video fupi ikionyesha gari ambalo amepata nalo ajali kupitia mtandao wa Instagram.


Kupitia video hiyo Kusah ameandika kuwa "Huyu Mungu wetu ni mwema sana, kuna muda nakaa nalia  maana maumivu hayazoeleki ila kila nikifikiria ajali iliyotokea na mimi nilivyo bado najiona mwenye bahati kubwa, Ahsante Mungu kwa hili naamini ipo siku nitasimama tena inshaallah"

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments