Maskini..Mke wa Mwanamfalme, Meghan Markle Adhibitisha Ujauzito Wake Kuharibika...


 Meghan Markle ambaye ni mke wa mwanamfalme wa Uingereza Harry, ameanika ukweli kwamba alipata tatizo la kuharibika kwa ujauzito mwezi Julai mwaka huu.


Kwenye andiko lake la uchungu lililochapishwa kwenye gazeti la The New York Times, Meghan ambaye ana mtoto wa mwaka mmoja na Prince Harry aitwaye Archie Harrison, alisema ujauzito wake uliharibika (miscarriage) mwezi Julai akiwa nyumbani kwake wakati akimbadilisha nepi mwanaye Archie.


Kwenye maelezo yake alisema pia alimshuhudia mumewe akiwa kwenye maumivu makali ya moyo kwa kumpoteza mtoto wa pili, akiwa pembeni ya kitanda wakati Meghan amelazwa hospitali.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments