11/02/2020

Mbaroni Akituhumiwa Kuua Harusini, Kisa ZawadiKIJANA Changwa Sebeki (19) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kumuua Kegoka Mwikwabe (22) anayedaiwa kumuondoa kwenye harusi kwa kukosa zawadi.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Danilel Shillah amesema tukio hilo limetokea Oktoba 31, ambapo mtuhumiwa alimshambulia kwa kumkata na panga hadi kusababisha kifo chake.


Sababu aliyoitaja ni kuwa katika harusi moja, marehemu alikuwa anasimamia vijana wanaocheza na binti kutoa zawadi lakini mtuhumiwa alicheza na alipoambiwa atoe zawadi kama ilivyo kwa taratibu za Kikurya, hakuweza kutoa hivyo akatolewa nje.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger