11/14/2020

Mbwembwe za Cyril Kamikaze na Ulinzi wa masai.. kafunguka ishu yake Vanessa Mdee ‘Aliniblock’

 


Ni Headlines za Mkali kutokea Bongo Flevani, Cyril Kamikaze ambae leo kwa mara ya kwanza amefunguka ameonekana akiwa na ulinzi wa Masai huku akielezea mipango yake pamoja na tofauti zake na Mwanadada Vanessa Mdee.


‘Ulinzi wangu ni Wamasai na nina sababu nyingi sana hawa wamezaliwa kujua na wanatakiwa kupambana, kwa Watu kama sisi wasanii tunatakiwa tume na ulinzi sana kwa mfano tuliona juzi juzi S2kizzy alivamiwa lakini kama angekuwa na ulinzi yasingetoa yaliyotokea na hapa masai kila maja anajukumu lake kuna mwingine anaendesha gari, mwingine anashika simu’– Cyril Kamikaze


‘Mimi sijawahi kuwa na Vanessa ila alini Block ila mimi moyoni mwangu sina tatizo lolote unajua mapenzi sio ya kuyaingia kwahiyo Jux na Vanessa Mdee nawaacha wenyewe’- Cyril Kamikaze

VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger