Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mkutano Wa Bunge La 12 Kuanza Rasmi Novemba 10,2020 Jijini Dodoma

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE KATIBU  wa Bunge Steven Kagaigai  ametangaza kuwa Bunge la 12 kuanza rasmi Novemba 10 mwaka huu jijini Dodoma huku akiwataka wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa kufika katika ofisi za Bunge wakiwa na nyaraka mbalimbali kwa ajili ya kujisajili.


Wito huo ameutoa leo jijini Dodoma kwa waandishi wa habari jijini Dodoma, Kagaigai  amesema kuwa  kikao hicho kimeitishwa baada ya Tangazo la Rais lililotolewa Novemba 5, mwaka huu kwenye gazeti la serikali toleo maalum namba 942A

Post a Comment

0 Comments