Mnaotaka Kuandamana..Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ana Jambo Lenu Hapa

 


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge ametoa onyo kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya vurugu mkoani kwake na kueleza kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayejaribu kuvuruga amani.


Kunenge ametoa onyo hilo wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).


Mkuu huyo wa mkoa ameongeza kuwa jiji lipo kwenye hali ya amani na utulivu huku usalama ukiwa umeimarishwa.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

1 [disqus]:

 1. Kamati ya Usalama ya Mkoa ulio fanyika
  mkutano na wanahabari hawa wasio na Maadili na Nia mbaya kwa Nchi yetu.

  Baada ya kikao mmeamua nini na mmesha
  wauliza na kuwatia nguvuni..??

  Tatizo la vyama Viwili kukosa Ubunge
  siyo Tatizo la Nchi. ni tatizo la tamaa ya ukosefu wa Ruzuku na malupulupu katika kuwatapeli wabunge hizi saccozi za magumashi kwa pazia ya siasa ZISITUVUNJIE AMANI NA UTULIVU WETU KWA MASILAHI YAO BINAFSI.

  UBUNGE NI UWAKILISHI NA SIYO AJIRA.
  wananchi wakikosa Imani ya wewe kuwatumikia huwa WANAKUPUMZISHA NA NDICHO TULICHOFANYA, KOLONA IMETUFUNZA
  MENGI KWA WATORO HAWA LOKIDONI.

  Msiwafumbie macho.

  ReplyDelete