Mondi Atoswa Tuzo za Grammy
HATIMAYE vipengele vya tuzo za Grammy 2021 vimetajwa rasmi usiku huu, ambapo Burna Boy wa Nigeria ameendelea kudhihirisha kuwa ndiye mfalme wa Afrika huku staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, akikosekana katika tuzo hizo.

 

Burna Boy ndiye msanii pekee wa Afrika ambaye ametajwa kwenye tuzo hizo, na album yake #TwiceAsTall ambayo ilitoka Agosti 14, 2020 imetajwa kuwania kipengele cha Best Global Music Album.

 

Mbabe huyo wa Afrika ambaye mwaka jana aliikosa tuzo hiyo, atachuana na album za wakali wengine kama;

FU CHRONICLES – Antibalas

TWICE AS TALL – Burna Boy

AGORA – Bebel Gilberto

LOVE LETTERS – Anoushka Shankar

AMADJAR – Tinariwen.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments