11/11/2020

Msuva Ajiunga na Wydad Casablanca ya MoroccoWinga wa Tanzania Saimon Msuva ameripotiwa kuwa amejiunga na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne akitokea Difaa El Jadid ya nchini humo.


Wydad Casablanca walifika hatua ya nusu fainali klabu bingwa Afrika msimu huu, na walishika nafasi ya pili katika ligi kuu ya Morocco msimu huu ulioisha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger