Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mtoto Anasa Kwenye Kifusi , Akolewa Akiwa HaiMtoto wa miaka mitatu Elif Perincek ameokolewa akiwa hai, baada ya kunasa kwa zaidi ya saa 65 kwenye kifusi cha nyumba iliobomoka kutokana na tetemeko la ardhi lilitokea Ijumaa katika mji wa Izmir nchini Uturuki

Waziri wa Afya wa Uturiki Fahrettin Koca, amesema wazazi wa mtoto waliokolewa mapema lakini kwa bahati mbaya dada yake alikutwa amefariki.


Mpaka jana Novemba 1 vifo ambavyo vimeripotiwa kutokana tetemeko hilo vimefikia 69, na watu waliojeruhiwa ni 949.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments