Mtoto wa Gardern G Habash Karen Achukia Mapenzi Jumla

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




SEXY lady kunako anga la Bongo Fleva, Karen Habash ‘Malkia Karen’ anasema kuwa, hakuna maisha anayoyachukia jumla kama ya uhusiano wa kimapenzi.


Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Malkia Karen anasema kuwa, aliwahi kupitia maisha magumu mno ya uhusiano wa kimapenzi hadi kufikia hatua ya kujiona kuwa hafai kwa mpenzi wake hivyo kwa sasa ameamua kuwa single (kuishi mwenyewe bila mpenzi) na kuendelea na maisha yake.


“Asikwambia mtu, mapenzi yanauma jamani, nilipitia msoto kwa mpenzi wangu hadi nilijiona hata sifai tena, lakini nilipiga moyo konde na kuamua kufanya uamuzi mgumu na mpaka sasa ninafurahia maisha ya kuwa single,” anasema Malkia Karen ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa miondoko ya Singeli unaokwenda kwa jina la Sina akiwa na Meja Kunta.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad