Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Museveni: Najua mwelekeo wa CCM kisiasa vyama vingine sijui mwelekeo, Afrika kufaulu lazima tukumbuke neno ‘mwelekeo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE“Uchaguzi 2015 niliweka TBC1 nikawa na hofu sana (kuhusu CCM) nikasema inakuwaje,baadaye nikaona Mama mmoja (Mabula) ameongoza kwa kura nyingi Ilemela, mwaka huu niliweka TBC nikaona Hai, Majimbo ya mwanzo kabisa Hai, Newala, Mtwara aah nikasema basi.
“Najua mwelekeo wa CCM kisiasa, hivi vyama vingine sijui mwelekeo, watu wengine wanafikiri ni jambo rahisi, Afrika kufaulu lazima tukumbuke hilo neno ‘mwelekeo’, napongeza Watanzania miezi michache nyuma ilitangazwa kwamba Tanzania imeingia kwenye Uchumi wa Kati nawapongeza kwa sababu mmetuwahi”

Post a Comment

0 Comments