Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwanamuziki Drake Azushiwa Kifo Twitter...

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Wikendi iliyopita haikuwa salama kwa mashabiki wa Drake kwani walishikwa na ugonjwa wa tumbo mara baada ya taarifa za kuwa msanii huyo amefariki kusambaa kwenye twitter.


Hashtag ya #RIPDrake ndio ilikuwa Trending World Wide hadi kuibua taharuki miongoni mwa mashabiki na wafuasi wa Drake wakitaka kufahamu nani kaanzisha taarifa hizo na zina ukweli kiasi gani.


Baadaye aliibuka mtu mmoja na kuweka sawa kuwa hashtag hiyo ilikuja baada washkaji fulani kuwa wanataniana na baadaye kusambaa bila kutarajia. Taarifa za Drake kuwa mzima wa afya ndio zinaendelea kwa sasa.

Post a Comment

0 Comments