11/13/2020

Mwimbaji Barnaba Afunguka Tatizo la Sauti Alilolipata Mpaka Kukimbilia Kwa Mchungaji


Mwimbaji @barnabaclassic ameeleza kwa urefu kuhusu tatizo la sauti ambalo lilimtokea hivi karibuni na kushindwa kuimba. Baada ya kumuona daktari, alimwambia itabidi apate tiba na itambidi akae miezi minne bila kuimba.


Lakini Mungu alimponya, Barnaba baada ya kufika kwa Mchungaji Boniface Mwamposa na kutumia mafuta yanayotolewa na Mchungaji huyo, alipona kabisa tatizo hilo ndani ya siku chache! Amesimulia yote

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger