11/05/2020

Mwimbaji wa muziki wa RnB nchini, Belle 9 amefunguka sababu ya kutoa wimbo waInjili


Mwimbaji wa muziki wa RnB nchini, @belle9tz amefunguka sababu ya kutoa wimbo waInjili

Mkali huyo wa muda wote ameeleza kuwa miongoni mwa sababu za kufanya hivyo ni kutokana na ajali aliyoipata hivi karibuni akiwa na wasanii wenzake na kunusurika kifo. Belle 9 akiiambia XXL, Clouds FM.


Pia ameeleza kuwa kumekuwa na mengi mazuri katika maisha yake lakini hajapata kushukuru kupitia wimbo, kwa hiyo akaamua kufanya hivyo kupitia wimbo huo unaokwenda kwa jina la Asante.


Ikumbukwe, @belle9tz akiwa na Lulu Diva pamoja na Bonge la Nyau walipata ajali maeneo ya Chalinze wakitokea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu (Tanzania) uliomalizika hivi karibuni

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger