Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nabii Bushiri na Mkewe Wajisalimisha Kwa Polisi wa Malawi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mhubiri Shepherd Bushiri na Mke Wake Mary wamejisalimisha leo asubuhi kwa Vikosi vya Usalama Nchini #Malawi ambako walikimbilia wakitoroka kesi ya kutakatisha fedha Nchini Afrika Kusini


Wamechukua uamuzi huo kwa madai kwamba hawatatendewa haki kwenye kesi inayowakabili Afrika Kusini ya tuhuma za kutakatisha takriban Tsh. Bilioni 14.4


Jana, Mahakama Kuu ya Afrika Kusini ilitoa waranti ya kukamatwa kwao kutokana na kukiuka masharti ya dhamana kwa kutoroka.


 

Post a Comment

0 Comments