"Naimba kuliko wasanii wote wa Bongo" - Ebitoke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchekeshaji Ebitoke amesema sasa hivi anataka afahamike kama mwanamuziki kwa sababu ameingia rasmi katika tasnia hiyo na amefika mbali zaidi kwa kusema hakuna msanii yeyote anayemuweza kwa kuimba katika kiwanda cha BongoFleva.


Akizunguzmia hilo wakati anapiga stori na EATV & EA Radio Digital, Ebitoke amesema kuwa ameingia kwenye muziki kwa sababu anaupenda na ana uwezo wa kuimba na wala hajafuata mkumbo kama wasanii wengine walivyofanya.


"Nataka nitambulike kama mwanamuziki na muigizaji, nimeingia kwenye muziki kwa sababu naupenda na nimeona nina uwezo wa kuimba tena naimba kuliko msanii yeyote wa hapa Bongo na hakuna anayenifikia, najua ni kawaida mashabiki kuongea na wapo watakaonipinga na wengine watanisapoti" amesema Ebitoke 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umetisha Bi Toke, Hamolapa ana kukubali, hata mie nakukubali
    ntamwambia Snura atuwezeshe ufanye kolabo nae.

    Wewe ungependdelea kolabo na nani.?

    ReplyDelete

Top Post Ad