11/18/2020

Nandy Afunguka Ukweli "Mimi Nyimbo Naandikiwa" Amtaja Aliyemwandikia Nyimbo Aliyofanya na KibaKupitia ukurasa wake wa Instagram @officialnandy ameandika ujumbe huu:- “Siku uliyonipigiaa na kuniambia una kitu kizur juu Yangu sikuamini…. lakini ulipokujaaaa studio tukakutana kwa mara ya kwanza hatu kuchukua hata masaa mawili kumaliza huu wimbo!! Umenipa wimbo mkubwa sana unaweza usione saiv ila baada ya mwez utaniambia!! Na Asante sana sababu matunda na yaona tangia niachie huu wimbo una baraka nyingi sana za kumaliza mwaka ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ….Nandy anaendelea: Watu wengi wanaongea kuusu kuandikiwaa acha niwaambie waandishi wana umuhimu sana lazima waandishi nao wapate kipato wasipo Andika Nyimbo watakula wapi? Na rahaaa ya kuandikiwaaa utoe HITS BWANA me na vichwaaaa haswaaaaa nikiandikiwaaa jua ni bomuuuu shout out kwa waandishi wote mteja wenu nipooo we hakikisha una HITS biasharaaaa I wazi ๐Ÿ’ซ tunafanya kazi ๐Ÿ’ฐ thank u so much @_kusah_ @_kusah_ @_kusah_ MUNGU AKUFUNGULIE MILANGO YA KHERI “HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger