google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ndani ya daladala:binti kabakwa, kapigwa na kuporwa fedha “gari ilibadili njia” | UDAKU SPECIAL

Ndani ya daladala:binti kabakwa, kapigwa na kuporwa fedha “gari ilibadili njia”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawatafuta watu watatu ikiwemo dereva na kondakta wa moja ya daladala mkoani Arusha  kwa kutuhumiwa kumpiga,kumuibia simu pamoja nakumbaka binti ambaye alikuwa anatoka kazini baada yakubadilisha njia nakumpeleka sehemu nyingine.


Binti huyo amedai  alikuwa akitoka kazini usiku maeneo ya Field Force katika kata ya Murieti kuelekea kontena na baada yakupanda daladala hiyo walibadilisha njia


“walifika sehemu kuna migomba mingi wakasimamisha gari,nikaruka nikakimbia akanikimbiza mmoja akanipiga akaniingiza kwenye migomba akaniambia nivue nguo nikakataa akaanza kunipiga mwisho wa siku wenzake wakaja wakanizidi nguvu wakanivua nguo wawili wakanibaka,wakachukua begi hela na simu zote mbili”


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad