Ni vilio na kelele Harare: Tazama Msafara wa magari ya kifahari ukisindikiza mwili wa Ginimbi


Maelfu ya wakazi wa Harare, Ijumaa hii wamejitokeza barabarani kuutazama msafara mkubwa uliokuwa umebeba mwili wa mfanyabiashara wa Zimbabwe Genius “Ginimbi” Kadungure aliyefariki kwa ajali ya gari Jumapili iliyopita.


Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwenye makazi yake ya Domboshava

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments