Nyota wa Ufaransa Antoine Griezmann Adai Hata Barcelona Wakisema Akate Nywele zake Hata Weza Kufanya Hivyo "Mke Wangu Anazipenda"


Nyota wa Ufaransa Antoine Griezmann anazithamini sana nywele zake kuliko kitu chochote, amesema hata Klabu yake ya Barcelona ikimtaka azikate, hatofanya hivyo kwa sababu mkewe pamoja na familia yake wanazipenda.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments