Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Papa Francis Agonga Vichwa vya Habari Duniani Banda ya Ku like Picha ya Mwanamke Mvaa Bikini


Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, @franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.


Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.


Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.


Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?


Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".

  

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

3 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)